Jumatano, 18 Machi 2015
KAVAZI LA MWALIMU
Rais mstafu benjamin mkapa leo tarehe 18 itakumbukwa amezindua rasimi kavazi la mwalimu nyerere kituo huru kilichoazishwa ndani ya tume ya sayansi na technologia tanzania chenye majukumu makubwa matatu ikiwa ni kuhifadhi nyaraka zilizokusanywa na waandishi wa bayografia ya mwalimu nyerere ili zitumike na watafiti na pili ni kutoa nafasi ya mijadala ya kizuoni na mikakati juu ya maswala muhimu
Jumanne, 17 Machi 2015
UKARIBU UNAUA
Leo kikao cha bunge cha kumi na tisa kimeaza ambapo miswaada mbalimbali imetolewa nukuu ya leo imetolewa nikinukuu usemi wa mh naibu waziri wa mambo ya ndani mh pereila silima alipokuwa akijibu shwar aliloulizwa na mb kuhusu askar polisi kuvamiwa na kuporwa silaha nukuu ya majibu ya mheshimiwa "mh amesema ukaribu unauwa akimaanisha katika kituo cha polisi chochote raia yoyote anauhuru wa kukitembelea nakupata huduma hivyo basi unaweza ukamuona raia anakuja ukajua anahitaji huduma kakini kumbe ndo adui yako anakuja na mabomu tayar kwa kupora bila kujua kama ni muharifu lakini pendekezo la mh naibu wazr kuwa ukaribu wetu usiwe chuki tushilikiane kutoa taarifa za waharifu mwisho wa kunukuu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)