Jumatatu, 11 Januari 2021

MWAKITEVE BLOG: RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI

MWAKITEVE BLOG: RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI: Rais wa msumbiji na mwenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini wa Africa (SADC) Filipe nyusi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa...

Jumatano, 25 Novemba 2015

KUWASILI KWA PAPA FRANCIS NCHINI KENYA

Kiongozi wa kikatoriki duniani papa Francis awasili nchini kenya ambapo ni ziara ya kwanza barani afrika ambapo amewasili nchini Kenya nakupokelewa na mwenyeji wake rais wa Kenya rais Kenyatta papa Francis atakuwa na ziara ya siku tatu nchini humo na katika ziara hiyo anatarajia kuongea na vijana mbalimbali.@kiteve method.

Jumanne, 9 Juni 2015

NUKUU YA MWALIMU NYERERE

Kuazia kwa baraza la kiswahili la taifa(BAKITA)kuna mnasaba mkubwa na maendeleo ya matumizi ya kiswahili nchini ambacho ni lugha ya taifa Nukuu;Mwalimu nyerere alipohutubia taifa Mara tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 1961 alisema nukuu;:Badiliko kubwa nililofanya ni kuunda wizara mpya wizara ya utamaduni wa taifa na vijana nimefanya hivyo kwa sababu naamini kuwa utamaduni ndiyo roho ya maisha ya taifa lolote nchi isiyo na utamaduni wake ni mkusanyiko wa watu tu ambao hawana roho hutuba ya rais alihutubia bunge tarehe 10/12/1962. PICHA ZA KUMBUKUMBU YA MUUNGANORais wa tanzania jakaya mrisho kikwete aliwasili uwanjani tayari kwa kuhudhulia sherehe za muungano.Rais jakaya kikwete akikagua parade lililoandaliwa kwaajiri ya maadhimisho ya muunganoRais jakaya kikwete akisalimiana na viongozi waliotanguliaviongozi wakiimba wimbo wa taifaHawa ni makomandoo wetu watanzania

Jumatano, 18 Machi 2015

KAVAZI LA MWALIMU

Rais mstafu benjamin mkapa leo tarehe 18 itakumbukwa amezindua rasimi kavazi la mwalimu nyerere kituo huru kilichoazishwa ndani ya tume ya sayansi na technologia tanzania chenye majukumu makubwa matatu ikiwa ni kuhifadhi nyaraka zilizokusanywa na waandishi wa bayografia ya mwalimu nyerere ili zitumike na watafiti na pili ni kutoa nafasi ya mijadala ya kizuoni na mikakati juu ya maswala muhimu

Jumanne, 17 Machi 2015

UKARIBU UNAUA

Leo kikao cha bunge cha kumi na tisa kimeaza ambapo miswaada mbalimbali imetolewa nukuu ya leo imetolewa nikinukuu usemi wa mh naibu waziri wa mambo ya ndani mh pereila silima alipokuwa akijibu shwar aliloulizwa na mb kuhusu askar polisi kuvamiwa na kuporwa silaha nukuu ya majibu ya mheshimiwa "mh amesema ukaribu unauwa akimaanisha katika kituo cha polisi chochote raia yoyote anauhuru wa kukitembelea nakupata huduma hivyo basi unaweza ukamuona raia anakuja ukajua anahitaji huduma kakini kumbe ndo adui yako anakuja na mabomu tayar kwa kupora bila kujua kama ni muharifu lakini pendekezo la mh naibu wazr kuwa ukaribu wetu usiwe chuki tushilikiane kutoa taarifa za waharifu mwisho wa kunukuu.